Prism Photolab bado wapo on fire kwa kufanya kazi nzuri sana za kupiga picha ambazo ni bora pia kwa bei nzuri sana ambapo watu wengi wanashindwa kuamini, Ukizicheki picha ambazo kampuni hii inapiga (quality) na bei zake huwezi kuamini. Ngoja nikuonyeshe Picha zao kadhaa labda utanielewa nini namaanisha
Unacheki picha hio ilivyokua kali lakini sasa uliza bei ndo utashangaa mwenyewe, Bei flani ya kawaida sana. Ebu nikuonyeshe nyingine
Hio Picha nyingine kutoka Prism Photolab ambayo nayo kali sana ambapo dada yetu @reen.momo ametokelezea sana hio haina ubishi hichi ndicho kinachoitofautisha Prism na kampuni nyingine za Picha kwasababu kupata kitu cha quality kama hio kwa bei ya kawaida ni ngumu sana hapa jijini Dar-es-salaam Lakini Prism Photolab wanakupa unachoitaji.
Nashindwa kuelewa kwanini bado tu huichagui Prism Photolab kama Mpiga picha wako kwasababu ya vitu vikubwa viwili 1.ubora wa picha (quality) 2.Bei rahisi sana. Najua mara ya kwanza ukiziona picha unaweza ukastuka kujiuliza bei itakuaje lakini sasa cha kukutoa hofu ni kwamba bei ipo kwaajili yako wewe mwenye Hali ya chini na unapenda kutisha kwenye picha .... watoto wa mjini wanasema Photogenic we usisite kuwatafuta Prism Photolab kwenye mawasiliano yao chini hapo
Pia kitu kingine kizuri Eneo (location) ya kupigiwa picha unachagua mwenyewe japokua unaweza pia kushauriwa na wadau wa Prism lakini wewe mwenyewe unakua huru kusema wapi unataka kufanya picha zako.
Habari njema kwa wale wenye couples zao na wanapenda kupiga picha ili kudumisha penzi lao bhasi msihangahike tena kwasababu Prism ndo mtatuzi wa shida zenu zote kwa bei ya kawaida sana, Prism Photolab wanafanya picha couples seheme yoyote wakati wowote ule kwa bei maridhawa tu. Ngoja nikuonyeshe Moja ya Picha za couples ambazo Prism washawahi kufanya
Kama unavyoona mwenyewe hapo haina haja ya maelezo mengi kujua hio picha inamaanisha nini ila yote tisa kumi ni kwamba Prism Photolab ndo sehemu sahihi kwa nyie wapendanao kama mnahitaji picha kama hizo za pamoja msisite kuwatafuta PrismPhotolab.
Kazi ya Prism ni kuhakikisha kwamba watu wanapendeza na kufurahi wakati wote na hayo ndo maisha yanavyotakiwa yawe sikuzote. Unawekwa kwenye Ulimwengu mwingine unaweza ukahisi ni ndoto lakini kwa Prism kilakitu na kinatimizwa na kufanywa kweli.
Pia Prism inafanya kazi kwenye sherehe zote na kwa wakati wowote tu mfano Birthday Party, Harusi, Anniversary, au Event ambayo itahitaji Picha Bhasi Prism ipo kwaaajili yako.
Kama mnavyoona Picha hio hapo ilipigwa kwenye boti hivi maeneo flani hapa hapa jijini Dar.
Unaweza kuwapata Prism Photolab kupitia namba zifuatazo;
0689419414- Brighton
0686257790- Marc dee
0716837444- Geofrem
0655447427- Munishijr
Kwenye Mitandao Ya kijamii Pia unaweza kuwapata;
Facebook - Prism Photolab
Instagram - @Prism_photolab
WhatsApp - 0689419414