Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo BongoFleva. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo BongoFleva. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 16 Oktoba 2016

Download HAPA Nyimbo Ya IDRAMAVOICE_KILARURALU_MP3

Leo tupo na Ngoma Mpya Kutoka kwa Msanii Chipukizi Anayejulikana Kama IDRAMAVOICE ngoma inaitwa KIRALURALU 

Humo ndani Yameimbwa Mapenzi na tungo zilizoenda shule ambazo zinafanya mziki uwe mzuri zaidi kutoka kwa Msanii huyu. Pia ni nyimbo flani ya kuchezeka hivii so Wale wadau wa club Ngoma ndo hii IDRAMAVOICE Amewaletea so Mpeni support kubwa iliaweze kufika Mbali zaidi na Kufanya Ngoma kali zaidi

Producer anaitwa BAKO 

                            DOWNLOAD HAPA ->>>IDRAMAVOICE_KIRALURALU_MP3<<<<-


TOA MAONI YAKO JUU YA NYIMBO HII WEWE KAMA MDAU WA BONGOFLEVA 

Jumanne, 11 Oktoba 2016

DOWNLOAD HAPA Ngoma Mpya Ya ZASTA–'BUKTA DELA'. Mp3

Msanii wa Bongofleva anayejulikana kama ZASTA ameachia Ngoma Yake Mpya kabisa Ya Mwaka Huu inayokwenda kwa Jina la 'BUKTA DELA' Ngoma hio yenye ladha halisi za Muziki wetu wa Hapa Tanzania imetoka siku ya Jana

                                                                  Msanii, ZASTA

Nyimbo Hii imemleta ZASTA Kwenye taste nyingine Tofauti na vile Mashabiki na Wadau wake Mlizoea.Ukisikiliza Ngoma yake kama 'MY PROFILE' au 'SARESARE'  au 'NATAMANI'  Utanielewa nini namaanisha

ZASTA amekuja kivingine kuleta Mapinduzi ya Kweli kwenye Game hii ya Bongofleva, Amebadili jina kutoka DIZASTA mpaka ZASTA sio jina tu Hata Mziki wake Umekua Mzuri zaidi improvements Zinaonekana wazi.

Nyimbo Kali sana so Wale watoto Wa USWAZI jiandaeni Kupokea Ngoma kwaajili yenu ZASTA Anawaletea.Pia Msanii ZASTA  Anamiliki Management Yake mwenyewe Inaitwa NYATI NATION ambapo Yeye Mwenyewe Ndo CEO

                                                         NYATI NATION, CEO

Hii Ngoma sio ya Kukosa Aisee Hakikisha unaidownload na unakua nayo Kwenye simu au PC usikilize mziki mzuri Kutoka kwa Nyati mwenyewe

Nyimbo ya BUKTA DELA imefanywa katika studio za BANNYMUSIC Ambapo ngoma nyingi za ZASTA ndo zinapopikwa hapo

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD >>>>ZASTA-BUKTA DELA mp3>>>>>>

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

Check HAPA Video Mpya Ya CHURA Kutoka Kwa SNURA

Msanii Snura Mushi baada ya kufungiwa kwa Nyimbo yake ya CHURA  miezi kadhaa iliyopita hatimae amefunguliwa rasmi baada ya kufanya marekebisho makubwa kwenye video ya nyimbo hio

BONYEZA HAPA KUCHECK VIDEO YA CHURA 

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

DOWNLOAD Nyimbo Mpya Kutoka Kwa DOUBLE DEE- 'WANNA BE' mp3

Music Industry Inakua kilasiku na Kuzidi kuwa Biashara kubwa sana Yenye Faida Nyingi kama itafanywa kwa Umakini Mkubwa. Pia katika Tasnia hii kilasiku Wasanii wapya Wanaibuka na kufanya kazi nzuri sana Ambazo nyingine zikipata support kubwa kama airtime ya kutosha huwa zinasaidia Msanii mchanga kusikika zaidi kwa muda mfupi kwa watu wengi.  Bhas baada ya kusema hayo wadau wangu wa nguvu Leo namtambulisha Msanii Mpya kabisa kutoka Arusha a.k.a Arachuga kwa machalii wa Ara Au sio??  

Okei leo nipo na Msanii wa bongofleva mpya kabisa kutoka mkoani Arusha ambae anaitwa DOUBLE DEE 

Double Dee amekuja na ngoma yake inaitwa 'Wanna be' ambapo humo ndani amemuimbia mtoto mzuri tu so kwa dadaz wote hii ngoma inawahusu sanaa kwasababu tunajua Mapenzi ndo yapo on fleek sikuhiz. Ngoma hii bado haijafanyiwa video lakini Uongozi wake unashughilikia mpango wa kichupa kikali kabisa ilikuweza kumtambulisha vizuri DOUBLE DEE

Nikiwa napiga stori na Meneja wa msanii huyu ambae pia ni CEO wa MBAGA ENTERTAINMENT ambayo ndo kampuni inayomsimamia kwa sasa Double dee Meneja amesema kwamba wamejipanga vizuri yeye na kampuni yake kuhakikisha kwamba Double dee anafika mbali zaidi kutokana na muziki wa sasa kuwa na ushindani mkubwa.

                                                          MENEJA, David Mbaga

Nyimbo ni kali sana kwaio fanya kila uwezalo uhakikishe unaisikiliza Ngoma hii mpya kutoka kwa DOUBLE DEE

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD - DOUBLE DEE_WANNA BE mp3

Ijumaa, 2 Septemba 2016

Nyumba Nne Za Yamoto Band Hizi Hapa.... >>>>

Nyumba mpya watakazomiliki wasanii wa Yamoto Band.

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni mmiliki wa Yamoto Band, Said Fella akiongea na wanahabari wakati akitambulisha nyumba mpya watakazomiliki Yamoto Band. Kulia ni Asha Baraka.

  

Said Fella akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).

Tazama video hapa chini;

LEO mchana, Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni mmiliki wa Yamoto Band, Said Fella alitambulisha kwa waandishi nyumba mpya wanatakazomiliki bendi yake hiyo zilizopo Mbande-Kisewe jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu mara baada ya kuzitambulisha nyumba hizo, Fella alisema kuwa kila mmoja atakabidhiwa hatimiliki yake na kwamba ni nyumba zinazojitegemea.
“Kama uonavyo, nyumba zipo nne kwa Yamoto ambazo zote zinafanana hadi ndani. Ukiingia kuna master, vyumba viwili. Eneo la kulia chakula, jiko na sebule kubwa,” alisema Fella.
Aidha, Fella ameelekeza shukrani zake kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa kumpa hamasa na kufanikisha zoezi zima la kujenga nyumba hizo.
“Nawashukuru wote japo siwezi kumshukuru mmojammoja. Shukran za pekee nizielekeze kwa Rais Kikwete kwa kutoa hamasa sana kwa vijana hawa wa Yamoto. Ruge naye nime shukran kwa kuweza kuiinua Yamoto kwani nakumbuka baada ya bendi hii kuanza kusimama kuna kipindi tulikwama vifaa lakini Ruge kupitia bendi yake kipindi kile ya Odama Band walitusaidia na hata Asha Baraka naye anamchango mkubwa katika bendi hii ya Yamoto,” aliongeza Fella.
Fella alimalizia kwa kusema kuwa, nyumba hizo zimetokana na jasho la Yamoto kupitia shoo zao na milio ya simu ambayo imefanikisha.
“Pia kuna nyumba ambayo ipo katika hatua ya mwisho kukamilia, iko pembeni ya nyumba za Yamoto. Ni nyumba ya mshindi wa shindano la Bongo Star Search, Kayumba.”
Yamoto inaundwa na wasanii wanne, Enock Bella, Maromboso, Dogo Aslay na Beka One.
Yamoto imetoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe ambayo kwa sasa ina takribani wasanii 102 wanaosomeshwa na kuimba muziki.

Jumatatu, 15 Agosti 2016

DOWNLOAD Ngoma Mpya Ya YOUNGKILLER -Mtafutaji Mp3

Msanii kutoka Rockcity Mwanza Anaejulikana kwa jina la YOUNGKILLER MSODOKI ameachia Ngoma Mpya inayokwenda kwa jina la MTAFUTAJI audio imefanywa na Mr.T touches

DOWNLOAD HAPA 

Jumanne, 2 Agosti 2016

Meneja wa Diamond 'Babutale' Amekamatwa na Polisi

HABARI

Meneja wa Diamond akamatwa tena

Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’

By James Magai na Hadija Jumanne, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

Babu Tale amekamatwa leo na kufikishwa mahakamani hapo ili ajieleze ni kwa nini asifungwe kwa kushindwa kutekeleza hukumu ya Mahakama iliyomwamuru alipe fidia ya Sh250 milioni kwa makosa ya kuvunja sheria ya Hakimiliki.

ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

Dar es Salaam. Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Babu Tale amekamatwa leo na kufikishwa mahakamani hapo ili ajieleze ni kwa nini asifungwe kwa kushindwa kutekeleza hukumu ya Mahakama iliyomwamuru alipe fidia ya Sh250 milioni kwa makosa ya kuvunja sheria ya Hakimiliki.

Babu Tale anatakiwa alipe fedha hizo kutokana na kuvunja mkataba kati yake na Shekhe Mbonde, kwa kuuza na kusambaza nakala za mawaidha (DVDs) bila ridhaa ya shekhe huyo, jambo ambalo ni kinyume na haki miliki.

Jumapili, 31 Julai 2016

Msanii Diamond Platnumz na Idea nyingi za kucopy video za wasanii wengine

Idea za kukopi ambazo anafanya msanii wa kizazi kipya hapa Tanzania Almaarufu kama diamond platnumz zimeanza kuwa nyingi ambapo hali inaweza kumshusha kisanii kutokana kwamba ubinifu sasa hivi anaanza kuishiwa 

Kwa kirefu zaidi endelea kusoma HAPA

Jumapili, 10 Julai 2016

Download Nyimbo Mpya Ney wa Mitego - 'PALE KATI PATAMU'

Msanii Asiyeishiwa na Vituko kunako kwa Bongofleva ambae jina lake halisi ni Emmanuel Elibariki almaarufu kama Ney wa Mitego Leo ameachia Ngoma yake Mpya Inayokwenda kwa jina la 'PALE KATI PATAMU'  Producer ni Mr.T touches 

DOWNLOAD HAPA - NEY WA MITEGO_PALE_KATI_PATAMU_MP3

Alhamisi, 16 Juni 2016

'Burger Movie Selfie remix' by Belle9 ft. Jux, Gnako, Blue, Izzobusiness, Mauasama

Remix ya wimbo wa Burger Movie Selfie msanii Belle9 tayari ishatoka ambapo ndani kawashirikisha Gnako, Izzobusiness, jux, Maua sama

Enjoy the song chini hapo

👇👇👇👇👇👇👇👇👇

👉DOWNLOAD HAPA👈 

ChidiBenz Kasaini lebo ya Wasafi??? (WCB)

Return of the King Kong. Baada ya kukosekana kwenye muziki kwa kipindi kirefu, msanii wa Hip Hop Bongo, Chidi Benz amerejea tena machoni mwa watu na muonekano mpya.

Hivi karibuni kuliibuka tetesi kuwa rapper huyo ametoroka kwenye kituo cha LIFE AND HOPE REHABILITATION kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani alipokuwa akipata matibabu ya kupambana kujitoa kwenye uraibu wa madawa ya kulevya alipopelekwa kwa msaada wa Babu Tale na Kala Pina, lakini hilo lilionekana halikuwa na nguvu kutokana na hivi karibuni hali yake imeonekana kuimarika na kurejea kama awali.

Safari ya ‘sober house’ Bagamoyo

Baada ya hali ya Chidi Benz kuonekana kuwa mbaya zaidi, March 21 mwaka huu Babu Tale na Kala Pina walichukuwa hatua ya kumpeleka kwenye kituo cha LHRC kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kupata tiba ya kujiondoa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya yaliyopelekea hali yake ya kiafya kuwa mbaya.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Babu Tale aliandika: “Mwana amekubaLi kukaa Soba ila anasisitiza wana mje kumtembelea kumpa hope na kuleta mapokopoko manjari. Mungu bariki hii safari ya matumaini.”

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Babu Tale alisema sababu yake iliyompelekea kumsaidia ChidI Benz kuwa alidhani msanii huyo kuwa ana ngoma [ukimwi].

“Kusema ukweli nilipoona picha ile nilipata wasiwasi nikidhani Chidi Benz labda ameungua na maradhi yetu ya sasa, sikuamini kama ni madawa ya kulevya ndiyo yamempelekea hali ile. Lakini sikuweza kuamini kesho yake ilibidi nimchukue Chid Benzi na kwenda nae kwenye kituo cha afya na kufanya check up ya mwili mzima, lakini baada ya vipimo kutoka akaonekana yuko poa kabisa ila wakagundua tu ni hayo madawa.”

Baada ya siku 27 akiwa ndani ya kituo hicho, alipotembelewa na Kala Pina, Chidi alisema, “Sina mengi ya kuongea, niko sawa, nipo okay, niko fresh na msaada naupata.”

Tetesi za kutoroka sober house

May 25 zilisambaa tetesi za kutoroka kwa Chidi Benz kwenye kituo hicho alichopelekwa kwaajili ya kupata matibabu ya kupambana kujitoa kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.

Kwa kipindi hicho watu waliompeleka huko walishindwa kuongea chochote zaidi ya kusema kuwa hakutoroka bali aliruhusiwa na uongozi wa kituo hicho kurudi nyumbani.

Tetesi za kujiunga na WCB


Chid Benz akiwa na Diamond kwenye studio ya WCB

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Chidi Benz amepost picha alizopiga kwenye studio ya WCB zinazomuonyesha akiwa na Diamond, Babu Tale na Harmonize hali inayozua shaka kuwa huenda King Kong akawa ameshamwaga wino wa kujiunga kwenye lebo hiyo ili kurudisha makali yake kama zamani.


Chid Benz akiwa na Meneja wa WCB, Babu Tale

Aidha inadaiwa kuwa tayari Chidi ameshapika ngoma ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni japo bado haijajulikana iwapo wimbo huo umefanyika chini ya menejimenti ya WCB au laah.


Chid Benz akiwa na Harmonize

Kila la kheri King Kong aka Chuma, nafasi yako kwenye muziki bado ipo.

Jumanne, 14 Juni 2016

Ya moto Band ft. Ruby- SUU mp3.

Ya moto Band wanakuja tena na ujio mpya wakimshirikisha RUBY ngoma yao mpya inayoitwa SUU 

nyimbo ni nzuri sana na ubunifu wa hali ya juu. Kama inavyojulikana RUBY ni msanii wa kike mwenye sauti nzuri sana kwenye nyimbo hii amefanya vizuri sana.... 

Enjoy nyimbo hapo chini 

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

DOWNLOAD HAPA Ya moto Band ft. Ruby-SUU

Jumatatu, 30 Mei 2016

Vanessa na Shilole hawana bifu zile zilikua kiki tu... Hawa hapa kwenye stage moja

Kwa takribani week mbili hivi kwenye mitandao mingi ya kijamii kulizuka habari kwamba wanamuziki wawili wa bongofleva,Shilole a.k.a shishi baby pamoja na msanii mwenzie wa kike,Vanessa Mdee a.k.a Vee money 

Kila mmoja kwenye account yake ya INSTAGRAM alipost video akimpondea mwenzie ambapo Vanessa Mdee ndo alianza kumpost shilole afu baadae shilole nae akajibu mashambulizi 

Mitandao mingi kulikua na headline kwamba wasanii hawa wanabifu zito. Lakini kumbe ni tofauti kabisa na matarajio ya watu wengi ishu ni kwamba zile zilikua kiki tuu kwaajili ya show yao iliyofanyika weekend hii pale kwenye ukumbi wa BILLCANS ambapo show hio ilikua na surprise nyingi sana zilizofanywa na wasanii hawa ikiwa pamoja na kula ugali jukwaani BONYEZA HAPA KUCHECK SHOW YAO KAMA ULIKOSA baada ya show hio yapo mambo mengi ya kujiuliza ikiwa pamoja na uwezekano wa wasanii hawa kufanya collabo yoyote kwahio bado tunasubiri mambo mengi tuu kutoka kwao 

Jumatano, 25 Mei 2016

Download Nyimbo Mpya ya Youngkiller ft. Mr. BLUE-KUMEKUCHA

Youngkiller msodoki baada ya kufanya kazi nzuri na mkongwe sir Nature kwenye POPOTE KAMBI.Safari hii imekuja na mkongwe mwingine kwenye game anaitwa BLUE nafikiri kila mtu anamjua huyu jamaa katika tasnia hii ya Bongofleva basi mkongwe huyu kakutana na mdogo wake kwenye game afu wakafanya ngoma inakwenda kwa jina la KUMEKUCHA. 


👉BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD 👈

Download Nyimbo Mpya ya Raymond-Natafuta kiki

Raymond WCB msanii chipukizi kutoka lebo ya wasafi classic baby (WCB)  baada ya kufanya vizuri kwenye ngoma yake ya kwanza inayoitwa KWETU. Safari hii amekuja kivingine kwa ngoma kali pia inayokwenda kwa jina la NATAFUTA KIKI.

Katika ngoma hii amefanya ubunifu flani hivii wa mashairi akiwa kama mtu ambae anajiuliza afanye nini iliaweze kujulikana kwa watu almaarufu kama 'kiki'

Producer wa ngoma hii ni yuleyule wa ngoma ya kwanza 'KWETU' anaefahamika kama Laizer classic kutoka studio za WCB 

👉DOWNLOAD HAPA👈 ngoma mpya RAYMOND 

Nyimbo Mpya ya Giggy Money -SUPU

Staa maarufu wa kwenye video za wasanii mbali mbali hapa bongo maarufu kama GIGGY MONEY wengi wanamjua kwa vituko vyake kwenye mtandao wa kijamii hususani INSTAGRAM.Mwanadada huyu kipaji cha kuimba pia anacho sana kwasababu tushasikiliza ngoma zake nyingi tu hapo mwanzo lakini sahivi anakuja na jiwe la tofauti linakwenda kwa jina SUPU ambapo kamshirikisha mkali wa bongofleva ambae si mwingine bali ni MATONYA 

nyimbo ni kali sana halafu ni ngoma flani hivi ya kuchezeka club kwahiyo GIGGY kajitahidi sana kufanya kitu kizuri expectation zangu ngoma itafika mbali sanaa.

DOWNLOAD HAPA nyimbo mpya ya GIGGY MONEY FT. MATONYA-SUPU

Jumamosi, 14 Mei 2016

Lyrics za Wimbo Mpya wa Alikiba hizi hapa

[Verse 1 – Alikiba]

Ucheshi na sauti

Amenifanya nam-miss tu

Mwambie asiogope

Ali ni kipenzi cha watu

Ntafanya party nyumbani

Hiyo yote kwa ajili yake

Tena asije peke yake

Asiogope aje na wenzake

Ntafanya party nyumbani

Hiyo yote kwa ajili yake

Tena asije peke yake

Asiogope aje na rafiki zake eh

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Verse 2 – Alikiba]

Uzuri wake timilifu

Nshamuona na watu maarufu tu

Kina Wema Sepetu

Nikaomba namba bichwa akanishushua shuu!

Ilinikosesha raha

Lulu nae kandanganya

Kwamba mi ni wa kwake

Aniogope tena asinichekee

Ilinikosesha raha

Lulu nae kandanganya oh

Kwamba mi ni wa kwake

Aniogope tena asinichekee

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Verse 3 – M.I]

I say, I say, I say…

I’m gonna marry you one day

Come through baby girl

I just want us to speak

See we met on a Monday

You must be next Monday

Cause you make it one week

Have you been to the West side?

Forget whatever you seen on them Nollywood films

I wanna be your best guy

So let’s try till you testify no one’s better than him

So baby, give me your digits

Let me google map location, come and visit

You should show up in something exquisite

I can come over to yours, girl, where is it?

You could teach me to speak in Swahili

Like “sawa sawa, mambo vipi?”

Can you tell that I’m feeling you really?

Alikiba and M.I, my baby, I know that you feel me

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Outro]

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby

Lyrics za nyimbo mpya ya Alikiba hizi hapa


[Verse 1 – Alikiba]

Ucheshi na sauti

Amenifanya nam-miss tu

Mwambie asiogope

Ali ni kipenzi cha watu

Ntafanya party nyumbani

Hiyo yote kwa ajili yake

Tena asije peke yake

Asiogope aje na wenzake

Ntafanya party nyumbani

Hiyo yote kwa ajili yake

Tena asije peke yake

Asiogope aje na rafiki zake eh

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Verse 2 – Alikiba]

Uzuri wake timilifu

Nshamuona na watu maarufu tu

Kina Wema Sepetu

Nikaomba namba bichwa akanishushua shuu!

Ilinikosesha raha

Lulu nae kandanganya

Kwamba mi ni wa kwake

Aniogope tena asinichekee

Ilinikosesha raha

Lulu nae kandanganya oh

Kwamba mi ni wa kwake

Aniogope tena asinichekee

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Verse 3 – M.I]

I say, I say, I say…

I’m gonna marry you one day

Come through baby girl

I just want us to speak

See we met on a Monday

You must be next Monday

Cause you make it one week

Have you been to the West side?

Forget whatever you seen on them Nollywood films

I wanna be your best guy

So let’s try till you testify no one’s better than him

So baby, give me your digits

Let me google map location, come and visit

You should show up in something exquisite

I can come over to yours, girl, where is it?

You could teach me to speak in Swahili

Like “sawa sawa, mambo vipi?”

Can you tell that I’m feeling you really?

Alikiba and M.I, my baby, I know that you feel me

[Chorus – Alikiba]

Basi mwambie aje (aje)

Oh aje (aje)

Aje na rafiki zake (aje)

Asije peke yake (aje)

Oh aje (aje)

Aje, oh aje (aje)

Aje jamani aje (aje)

Aje nam-miss aje (aje)

[Outro]

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby

Come through, baby

I want you to come through, baby










Kudownload nyimbo yenyewe ingia hapa 👇👇👇👇👇

http://www.johventuretz.com/2016/05/alikiba-aje.html?m=1