Ijumaa, 2 Septemba 2016

MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2016 AWAMU YA PILI

Serikali kupitia wizara yake ya TAMISEMI leo wametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa awamu ya pili
BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI

Pia TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi wengine waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi kwa awamu ya pili
BONYEZA  KUONA MAJINA HAYO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni