Msanii wa Bongofleva anayejulikana kama ZASTA ameachia Ngoma Yake Mpya kabisa Ya Mwaka Huu inayokwenda kwa Jina la 'BUKTA DELA' Ngoma hio yenye ladha halisi za Muziki wetu wa Hapa Tanzania imetoka siku ya Jana
Msanii, ZASTA
Nyimbo Hii imemleta ZASTA Kwenye taste nyingine Tofauti na vile Mashabiki na Wadau wake Mlizoea.Ukisikiliza Ngoma yake kama 'MY PROFILE' au 'SARESARE' au 'NATAMANI' Utanielewa nini namaanisha
ZASTA amekuja kivingine kuleta Mapinduzi ya Kweli kwenye Game hii ya Bongofleva, Amebadili jina kutoka DIZASTA mpaka ZASTA sio jina tu Hata Mziki wake Umekua Mzuri zaidi improvements Zinaonekana wazi.
Nyimbo Kali sana so Wale watoto Wa USWAZI jiandaeni Kupokea Ngoma kwaajili yenu ZASTA Anawaletea.Pia Msanii ZASTA Anamiliki Management Yake mwenyewe Inaitwa NYATI NATION ambapo Yeye Mwenyewe Ndo CEO
NYATI NATION, CEO
Hii Ngoma sio ya Kukosa Aisee Hakikisha unaidownload na unakua nayo Kwenye simu au PC usikilize mziki mzuri Kutoka kwa Nyati mwenyewe
Nyimbo ya BUKTA DELA imefanywa katika studio za BANNYMUSIC Ambapo ngoma nyingi za ZASTA ndo zinapopikwa hapo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni