Leo tupo na Ngoma Mpya Kutoka kwa Msanii Chipukizi Anayejulikana Kama IDRAMAVOICE ngoma inaitwa KIRALURALU
Humo ndani Yameimbwa Mapenzi na tungo zilizoenda shule ambazo zinafanya mziki uwe mzuri zaidi kutoka kwa Msanii huyu. Pia ni nyimbo flani ya kuchezeka hivii so Wale wadau wa club Ngoma ndo hii IDRAMAVOICE Amewaletea so Mpeni support kubwa iliaweze kufika Mbali zaidi na Kufanya Ngoma kali zaidi
Producer anaitwa BAKO
DOWNLOAD HAPA ->>>IDRAMAVOICE_KIRALURALU_MP3<<<<-
TOA MAONI YAKO JUU YA NYIMBO HII WEWE KAMA MDAU WA BONGOFLEVA
Aise ngoma iko poa sana. alaf mchz nmemkubari sana nahtaj namba yake
JibuFuta