Raymond WCB msanii chipukizi kutoka lebo ya wasafi classic baby (WCB) baada ya kufanya vizuri kwenye ngoma yake ya kwanza inayoitwa KWETU. Safari hii amekuja kivingine kwa ngoma kali pia inayokwenda kwa jina la NATAFUTA KIKI.
Katika ngoma hii amefanya ubunifu flani hivii wa mashairi akiwa kama mtu ambae anajiuliza afanye nini iliaweze kujulikana kwa watu almaarufu kama 'kiki'
Producer wa ngoma hii ni yuleyule wa ngoma ya kwanza 'KWETU' anaefahamika kama Laizer classic kutoka studio za WCB
👉DOWNLOAD HAPA👈 ngoma mpya RAYMOND
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni