Staa maarufu wa kwenye video za wasanii mbali mbali hapa bongo maarufu kama GIGGY MONEY wengi wanamjua kwa vituko vyake kwenye mtandao wa kijamii hususani INSTAGRAM.Mwanadada huyu kipaji cha kuimba pia anacho sana kwasababu tushasikiliza ngoma zake nyingi tu hapo mwanzo lakini sahivi anakuja na jiwe la tofauti linakwenda kwa jina SUPU ambapo kamshirikisha mkali wa bongofleva ambae si mwingine bali ni MATONYA
nyimbo ni kali sana halafu ni ngoma flani hivi ya kuchezeka club kwahiyo GIGGY kajitahidi sana kufanya kitu kizuri expectation zangu ngoma itafika mbali sanaa.
DOWNLOAD HAPA nyimbo mpya ya GIGGY MONEY FT. MATONYA-SUPU
Haha ... Title ya nymbo imentoa hoi ila big up kwao
JibuFutaHaha ... Title ya nymbo imentoa hoi ila big up kwao
JibuFuta