Kwa takribani week mbili hivi kwenye mitandao mingi ya kijamii kulizuka habari kwamba wanamuziki wawili wa bongofleva,Shilole a.k.a shishi baby pamoja na msanii mwenzie wa kike,Vanessa Mdee a.k.a Vee money
Kila mmoja kwenye account yake ya INSTAGRAM alipost video akimpondea mwenzie ambapo Vanessa Mdee ndo alianza kumpost shilole afu baadae shilole nae akajibu mashambulizi
Mitandao mingi kulikua na headline kwamba wasanii hawa wanabifu zito. Lakini kumbe ni tofauti kabisa na matarajio ya watu wengi ishu ni kwamba zile zilikua kiki tuu kwaajili ya show yao iliyofanyika weekend hii pale kwenye ukumbi wa BILLCANS ambapo show hio ilikua na surprise nyingi sana zilizofanywa na wasanii hawa ikiwa pamoja na kula ugali jukwaani BONYEZA HAPA KUCHECK SHOW YAO KAMA ULIKOSA baada ya show hio yapo mambo mengi ya kujiuliza ikiwa pamoja na uwezekano wa wasanii hawa kufanya collabo yoyote kwahio bado tunasubiri mambo mengi tuu kutoka kwao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni