Ya moto Band wanakuja tena na ujio mpya wakimshirikisha RUBY ngoma yao mpya inayoitwa SUU
nyimbo ni nzuri sana na ubunifu wa hali ya juu. Kama inavyojulikana RUBY ni msanii wa kike mwenye sauti nzuri sana kwenye nyimbo hii amefanya vizuri sana....
Enjoy nyimbo hapo chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
DOWNLOAD HAPA Ya moto Band ft. Ruby-SUU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni