Jumamosi, 5 Machi 2016

Lulu Michael Ashinda Tuzo Huko Nigeria

Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiongea jambo baada ya kushinda Tuzo ya Africa Magic Viewers Choice (MVCA) zilizofanyika Lagos, Nigeria.

Akiwa na tuzo yake.

Akifanya mahojiano.Muonekano wa ndani ya ukumbi. 

Wasanii wa uigizaji Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (kulia), Single Mtambalike ‘Rich Richie’ (kushoto) wakiwa Muongozaji filamu anayechipukia kwa kasi, Honeymoon Mohammed (katikati).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni